Jinsi ya kuzuia nzi wa mwembe

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kuzuia nzi wa mwembe. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.

Jinsi ya kuzuia nzi wa mwembe
Início