Mbolea vunde iliyoongezwa rutuba ili kuboresha mavuno

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la mbolea vunde iliyoongezwa rutuba ili kuboresha mavuno. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.

Mbolea vunde iliyoongezwa rutuba ili kuboresha mavuno
Top