Jinsi ya kufuga nyuki na kuchakata asali

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kufuga nyuki na kuchakata asali. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.

Jinsi ya kufuga nyuki na kuchakata asali
Top