Nija bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.

Nija bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji
Top