Uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.

Uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo
Top